Social Icons

Wednesday, 26 November 2014

HOT NEWS: MTUHUMIWAWA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA TEKU AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA.
ASKARImmoja kati ya watatu waliokuwa wakituhumiwa kwa mauaji kwa aliyekuwa mwanafunziwa Chuo kikuu TEKU, amehukumiwa kunyongwa hadi kufa huku wenzie wakiachiwahuru.


Hukumuhiyo ilitolewa katika Mahakama kuu kanda ya Mbeya na Jaji Rose Temba baada yakuridhishwa na ushahidi wa pande zote mbili uliotolewa mahakamani hapo kwanyakati tofauti.


Mwendeshamashtaka wa Serikali, Archiles Mulisa akisaidiwa na Catherine Paul aliwatajawashtakiwa kuwa aliyehukumiwa ni Askari polisi F5842DC Maduhu na walioachiwa ni pamoja na  F 7769 DC Shaban na WP 6545 DC Neema baada yakuwakuta hawana hatia.


Mtuhumiwahuyo amepatikana na kosa hilo kwa mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu chaTeofilo Kisanji(TEKU) Daniel Mwakyusa aliyekuwa mwaka wa kwanza wa masomo mwaka2012.

No comments: