Social Icons

Saturday 6 September 2014

MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO NGAZI YA ASTASHAHADA (CERTIFICATE) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015,KAMPASI YA MBEYA


C H U O   C H A    E L I M U    Y A    B I A S H A R A (CBE)


CHINI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA”

KAMPASI YA MBEYA

TANGAZO LA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO NGAZI YA ASTASHAHADA (CERTIFICATE) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015 KATIKA FANI ZIFUATAZO:
  • Uhasibu ( Accountancy)
  • Masoko (Marketing Management)
  • Ununuzi na Ugavi (Procurement & Supplies Management)
  • Usimamizi wa Biashara (Business Administration)

1.  Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni Jengo la chuo kikuu Huria ( Kituo cha Mbeya) Forest ya zamani, CBE DAR ES SALAAM, CBE DODOMA, CBE MWANZA au   Bofya hapa Chini Ku Download


2. Wahitimu wa kidato cha nne wenye ufaulu usiopungua D nne watajiunga moja kwa moja.

3. Kujiunga na stashahada (diploma) wahitimu wa kidato cha sitwenye    ufaulu usiopungua Principal pass moja, subsidiary pass mbilAu wenye    astashahada husika yaani (certificate) kutoka Chuo kinachotambuliwa na NACTE



Masomo kwa ngazi zote yanatolewa kuanzia asubuhi hadi jioni (FULL TIME)  na jioni (EVENING PROGRAM) jumatatu hadi ijumaa.


Ewe mwananchi jiunge na chuo chenye uzoefu wa zaidi ya miaka 49 katika elimu ya Biashara, Ujasiriamali, Ushauri na Utafiti.


Tunaendelea kupokea maombi ya kujiunga katika ngazi zote



Kwa maelezo zaidi piga  simu namba, 0654-878704 / 0767-288874

No comments: