Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
Wanafunzi kutoka Vyuo vikuu vya Mzumbe (MU) na Dar es Salaam (UDSM) wakifuatilia mijadala
ya Bunge wakati wakijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Wanafunzi
kutoka Chuo cha Diplomasia Dar es Salaam wakifuatilia mijadala ya Bunge
wakati wakijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa
Wanafunzi kutoka Chuo cha Diplomasia Dar es Salaam wakifuatilia mijadala
ya Bunge wakati wakijadili na kupitisha bajeti ya Wizara ya Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Wanafunzi kutoa vyuo mbalimbali vya Diplomasia, Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walipiga picha na Waziri.
No comments:
Post a Comment