Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
Marehemu Sakabenga Enzi za Uhai wake kabla ya kukutwa na umauti leo akiwa amelala
Hapa mwanafunzi huyo akiwa ameshafariki wakati akiwa amelala chumbani kwake Chuo Kikuu Dar es salaam
Madaktari na wauguzi wakiuutoa mwili wa marehemu ndani ya jengo alipofariki akiwa amelala
Mwili wa marehemu ukipakiwa kwa Gari la wagonjwa kwenda kuhifadhiwa
No comments:
Post a Comment