Social Icons

Tuesday, 22 April 2014

TAMKO LA WAZALENDO WA VYUO VYA ELIMU YA JUU DAR ES SALAAM KULAANI VURUGU ZINAZOJITOKEZA KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBAMwanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Gulatone Masiga akifafanua jambo kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani), kushoto ni Acbert Sweya kutoka Chuo Kikuu cha Kampala.wakati wa Mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam.

No comments: