Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Korea nchini
Mhe Chung IL wakiwa mbele ya mchoro wa mfano wa Hospitali ya Chuo
Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila
maeneo ya Kwembe, Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa
kuliko zote nchini leo April 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akifurahi na msanii Mrisho Mpoto baada ya
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya
Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini
Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa 25 kutoka jijini Dar es salaam,
baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa
kubwa kuliko zote nchini leo April 2014. leo April 2014.
No comments:
Post a Comment