Na Happiness Katabazi
CHUO
Kikuu Cha Bagamoyo (UB) Dar es Salaam, kimewataka wahitimu walioitimu
kozi ya utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii kutumia taaluma
hiyo waliyoipata Katika nchi za Afrika Mashariki bila woga ili waweze
Kuwatetea wananchi ambao Haki zao zinapunjwa na hawajui jinsi
ya kuzidai.
Rai
hiyo imetolewa na Mkuu wa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha Bagamoyo
(UB), Dk.Natujwa Mvungi juzi katika mahafali ya kuwakabidhi jumla ya
wahitimu 10 yaliyofanyika Katika Ukumbi wa chuo hicho uliopo KAWE Beach
Da es Salaam, ambapo Mafunzo hayo yalifadhiliwa na taasisi ya Akiba
Uhaki Foundation ya nchini Kenya.
Dk.Natujwa
ambaye pia ni Mratibu wa kozi hiyo Alisema kozi hiyo Ulianza Septemba
Mwaka Jana na kumalizika Machi mwaka huu, ambapo wahitimu kutoka
nchini za Afrika Mashariki wakiwa na fursa ya kafundishwa na Wanasheria
toka vyuo mbalimbali jinsi ya kuweza kuwa watetezi wa Haki za binadamu
katika nchi wanazotoka.
"UB
imewafundisha jinsi ya kufahamu Haki za binadamu ni zipi?na wa jibu wa
binadamu wa serikali na Jamii yake ni upo na Jinsi ya kuzidai Haki
hizo....tunaimani mnavyorudi nchini kwenu mtaenda kutumia elimu hii
mliyoipata kwa vitendo ili wale ambao hawajafanikiwa Kuipata elimu hiyo
waweze kunufaika na elimu mliyoipata" Alisema Dk. Natujwa.
Kwa
upande wake Rais wa Chama Cha Tanganyika Law Society(TLS)" Charles
Rwechungura, akipongeza UB, na Taasisi ya Akiba Uhaki KWA kuendesha
Mafunzo hayo kutoka Kwa wahitimu Hao wanaogombea nchi za EAC Kwani licha
ya swaps mwanga wahitimu Hao w kufahamu Haki za binadamu pia
zimeimalisha mahusiano mema, na kuwataka wahitimu hao wakaitumie vyama
elimu waliyoipata katika Jamii zinazowazunguka.
Mkuu wa Maktaba wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Masawe akizungumza wakati wa hafla ya utoaji vyeti kwa wahitimu wa Kozi ya Utetezi wa Haki za Binadamu na Haki za Kijamii iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Dk. Kasoga akisoma hotuba yake.
Mratibu
wa Mafunzo hayo kutoka akibaUhaki, Kepta Ombati akizungumza wakati wa
hafla ya kutoa vyeti kwa wahitimu wa Kozi ya Utetezi wa Haki za Binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Alphonce
Gura akizungumza wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa wahitimu wa kozi ya utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), Dk.Natujwa Mvungi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na wahitimu wa kozi ya Utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo jijini Dar es Salaam.
Gachichi Gachere akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Alphonce Gura.
Mariamu
Zablon akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama
Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa
wahitimu wa kozi ya utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii
iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo jijini Dar es Salaam.
Mhitimu kutoka Uganda akipokea cheti.
Trambona Aniella kutoka Burundi akipokea cheti.
Mkuu wa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), Dk.Natujwa
Mvungi (kushoto), na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria
Tanganyika (TLS), Alphonce Gura (katikati), wakimkabidhi cheti, Amos
Charo Saro kutoka Kenya.
Baadhi ya wahitimu wakiwa na vyeti vyao. Kutoka kushoto ni Amos Charo Saro kutoka Kenya, Odhiambo Otieno na Gachichi Gachere.
Kulia ni Trambona Aniella kutoka Burundi akiwa na Hakizayezu Danile kutoka Rwanda wakiwa na vyeti vyao.
Baadhi ya wageni waalikwa.
Baadhi ya wahitimu.
Mgeni rasmi akipata chakua.
Prof. Palamagamba Kabudi a
kipata chakula.
Baadhi ya wahitimu wakipata chakula cha jioni.
Badhi ya wageni waalikwa wakipata chakula.
Wageni waalikwa wakipata chakula.
Chakula cha jioni.
Meza Kuu.
Baadhi ya waadhiri wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo wakiwa katika picha ya pamoja.
Mgeni rasmi akiwa kaptika picha ya pamoja na waadhiri wa Chuo kikuu cha bagamoyo pamoja na wahitimu wa Chuo hicho.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Wahitimu wa Kozi ya Picha ya pamoja.
Mkuu wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Natujwa Mvungi (wa
pili kushoto), akiwa na baadhi ya wahitimu wa kozi hiyo. Kulia ni
Mhadhiri wa Chuo hicho.
No comments:
Post a Comment