Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati
 alipowasili kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar
 es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah 
Chuoni hapo leo February 27, 2014. Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo 
Kikuu Cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandara na Mkuu wa Mkoa wa Dar
 es salaam Mhe saidi Meck Sadick.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na waombolezaji wengine  kwenye hafla rasmi
 ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi 
Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27, 
2014. 
 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho  kwa Mkuu wa Chuo 
Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi 
wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27, 2014.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya marehemu  kwenye hafla rasmi
 ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi 
Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo leo February 27, 
2014. PICHA NA IKULU




No comments:
Post a Comment