Social Icons

Monday, 27 January 2014

WANACHUO WA CHUO CHA UALIMU VIKINDU WALAANI UTARATIBU MBOVU WA UGAWAJI CHAKULA

Wanachuo wa Chuo cha Ualimu Vikindu, Pwani wakigombea msosi.
Vurugu zikiendelea.
Mmoja wa wanafunzi aliyefanikiwa kupata msosi.
Baadhi ya wanachuo waliopata na wengine wakikosa.
...Hawa wakiwa wamekata tamaa baada ya kukosa menyu.
WANACHUO wa Chuo cha Ualimu Vikindu mkoani Pwani wamelalamikia utaratibu mbovu uliopo chuoni hapo wakati wa kugawa chakula japo bado uongozi wa chuo hicho umelifumbia macho suala hilo.
Kila ufikapo muda wa chakula wanachuo hulazimika kugombea chakula na kupelekea vurugu kutokea kitendo kinachosababisha baadhi yao kukosa mlo.
Picha na Global Publishers

No comments: