Social Icons

Sunday, 26 January 2014

Profesa Sifuni Mchome atembelea Chuo cha Ufundi Arusha


 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome akiwa kwenye moja ya madarasa ya mafunzo ya kuongeza thamani madini.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome(wa pili kulia) akiwa na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Massika(kulia)akikagua shamba la majaribio la wanafunzi wa stashahada na Shahada ya Uandisi Umwagiliaji alipotembelea chuo hicho wikiendi hii.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome( kulia) akizungumza na mwanafunzi wa taaluma ya Uandisi Umwagiliaji katika Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Christopher Mahenge alipotembelea chuo hicho wikiendi hii
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome akiwa na uongozi wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)akikagua shamba la majaribio ya Uandisi Umwagiliaji.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Profesa Sifuni Mchome( wa pili kulia) akiwa pamoja na uongozi wa Chuo na baadhi ya wanafunzi.Picha zote na Arusha Technical College.

No comments: