Social Icons

Saturday, 21 December 2013

MARGARETH SIMALENGA ATUNUKIWA SHAHADA YAKE CHUO KIKUU CHA MZUMBE‏


IMG-20131221-WA000 Margareth Simalenga, akipozi kwa picha mara baada ya kuhitimu shahada ya uzamili katika Uongozi wa biashara (usimamizi wa mashirika) yaani Master in Business Administration (Corporate Management) katika mahafali ya 12 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Cumpas ya Dar es salaam yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es salaam.
IMG-20131221-WA001 
Akiwa katika pozi la picha huku akiwa ameshilikia maua mara baada ya kuhitimu mafunzo hayo ya uongozi wa biashara.
Hapa akipozi na ndugu yake ambaye jina lake halikupatikana mara moja

No comments: