Social Icons

Friday 8 November 2013

WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA CHA SITA MBEZI BEACH HIGH SCHOOL, WALA MAFUNZO JUU YA KWENDA KUSOMA CHUO KIKUU CHA KIMATAIFA CHA VIRGINIA

 Mwakilishi kutoka Chuo kikuu cha Kimataifa Virginia akitoa Vipeperushi kwa wanafunzi 
 Wanafunzi wakiendelea kuingia kusikiliza Darasa hilo 
 Wanafunzi wakisikiliza kwa umakini kabisa jinsi ambavyo wanaweza kwenda  kusoma katika chuo hicho

 Baadhi ya wanafunzi wakipitia kwa umakini vipeperushi hivyo 
  Mwakilishi kutoka Chuo kikuu cha Kimataifa Virginia  akitoa maelezo ya kina kuhusiana na kwenda kusoma katika chuo hicho
 Wanafunzi wakisikiliza kwa umakini 

 Wanafunzi wengine wakiwa wanasoma kuelewa zaidi kuhusu chuo hicho 
 Kila mmoja ametulia kwa umakini akisikiliza nafasi hiyo ya pekee 
 Wa kwanza kutoka kulia aliyeshika Goti ndiye Kaka mkuu wa Shule hiyo 


 Mmoja ya waelimishaji akitoa Maelekezo zaidi juu ya chuo hicho 

Wanafunzi wakipata maelekezo 

Je mnahabari au taarifa za chuo, Shule tuma kwa barua pepe hii: blogzamikoa@live.com

No comments: