Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi akifunua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika Jengo la Dakhalia ya Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi akitoa hotuba baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi akipatiwa maelezo ya ujenzi wa Dakhalia pamoja na kuangalia Ramani ya jengo hilo kwa Mshauri Mwelekezi Sabra Ameir Issa huko Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi akikagua Jengo la Dakhalia ya Chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI - MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment