Social Icons

Saturday, 26 November 2011

Rais Kikwete ashiriki MAHAFALI YA 11 YA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO

Rais Jakaya kikwete akitoa zawadi kwa Katibu Kiongozi mstaafu Balozi Paul Rupia, ambaye ni mmoja wa viongozi wa Baraza la Kwanza la Chuo hicho mwaka 2000 kwenye mahafali hiyo ya 11 yayofanyika jana mjini Lushoto.
Rais Kikwete akihutubia kwenye mahafali ya 11 ya chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto,mbele ya wahitimu wa Stashahada na Cheti.
Rais Kikwete akiwa na Jaji Mkuu na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Mh Mohamed Chande Othman,Kwenye sherehe za Mahafali hayo yaliyofanyika jana kwenye chuo cha Uongozi wa Mahakama,Mjini Lushoto Mkoani Tanga.
Rais Kikwete akiwa na uongozi wa chuo pamoja na wahitmu wa Cheti cha sheria
Picha zote kwa hisani ya Mtaa kwa mtaa Blog

No comments: