Social Icons

Thursday 27 October 2011

Tutumie Matukio na Habari za vyuoni kama wewe ni Mwanachuo upo Tanzania ama Nje ya Tanzania pia Watumishi inawahusu.


Umoja wa matukio na  wanavyuo Tanzania inapenda kuwapa Taarifa ya kuwa mnakaribishwa sana  Kututumia matukio yenu na mambo mbali mbali yanayo wahusu huko vyuoni, Tumefanya hivi ili kuendelea kuungana pamoja na wenzetu wote pia kubadilishana mawazo ya hapa na pele pindi itakapo takiwa tunawakaribisha sana, pia kwa watumishi wa vyuo wanao husika na mambo ya habari ama utawala Tunawakaribisha sana kutuma habari zenu na kama Tovuti yenu haipo hapo kwa list zetu kulia tunaomba mtutumie. Huu ni mtandao wenu wote unao husiana na mambo ya Elimu na kuelimishana lakini kikubwa kuwaunganisha wanavyuo wote watanzania popote Duniani. Tuna amini kwamba tutapata ushirikiano mkubwa kutoka kwenu pia bado tusiache kujiunga katika mtandao wenu mkubwa kabisa wa Student Universities Connects ambao pia ni Muunganiko wa website hii tazama upande wa Kulia utaona hapo Bofya na ujiunge.

Kutuma habari na matukio tumia Barua pepe Hii: twanavyuo@live.com

Asanteni sana,
Matukio na wanavyuo Crew

No comments: