Social Icons

Monday 24 October 2011

JUDITH SANGU NDIYE kinara wa shindano la MISS KIU 2011

Mrembo Judith Sangu mwishoni mwa wiki aliibuka kidedea baada ya kuwabwaga warembo wenzake katika shindano la kumsaka mlimbwende wa chuo kikuu cha Kampala International University(KIU).Shindano hilo lilifanyika katika ukumbi wa hoteli ya Savanna Lounge uliomo ndani ya jengo la Quality Center
Pichani ni warembo waliofanikiwa kuingia kwenye tatu bora,ambapo Judith Sangu aliibuka kinara wa shindano hilo,pichani kulia ni mshindi wa pili Martha Kamanyola na shoto ni mshindi wa tatu,Asha Mohamed.Kwa picha zaidi bofya hapa.

No comments: