Social Icons

Friday 2 September 2011

Wanachuo cha Tanzanian Training Centre for International Health(TTCIH) Ifakara Wamepata Advanced Diploma in Clinical Medicine au AMO

 Kutoka kushoto ni Dr.Kanumba,Dr.Mayoka,Prof.Pemba aliye simama ,Dr.Upunda,Dr.Kambona na Dr.Kasiga aliyenyosha mkono.
Taswira ya Wahitimu hao wakati wa mahafali ya Tano ya chuo hicho yaliyo fanyika tarehe 20/8/2011 Ifakara
Imetolewa na Kirungi Ruteganya

No comments: