Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya
Mrisho Kikwete na viongozi wengine meza kuu wakati wa sala ya Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa
Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa
pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku
kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es
Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku wa Ijumaa, Machi 12,
2015. Katika uchangiaji huo, Rais Kikwete aliwezesha kupatikana kwa sh.
bilioni 1.6 mbali na ahadi na fedha zitakazopatikana kutokana na bidhaa
zilizouzwa kwa njia ya mnada.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani
la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa
KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu
cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee
usiku wa Ijumaa, Machi 12, 2015. Katika uchangiaji huo, Rais Kikwete
aliwezesha kupatikana kwa sh. bilioni 1.6 mbali na ahadi na fedha
zitakazopatikana kutokana na bidhaa zilizouzwa kwa njia ya mnada.
PICHA NA IKULU
Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.
No comments:
Post a Comment