Social Icons

Saturday, 8 March 2014

MUUNGANO WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOTETEA HAKI ZA WANAWAKE YANAYOTETEA HAKI ZA WANAWAKE WASHEREKEA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI PAMOJA NA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI MBALIMBALI JIJINI DAR. Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali kutoka Jijini Dar es salaam wakiwa wanafuatilia mambo mbalimbali yanayo endelea wakati wa sherehe hizo
 Hawa ni wanafunzi wa Chuo cha ufundi kwa watu wenye ulemavu walemavu wa jumla, wakiwa wanafuatilia kwa umakini kinacho endelea uwanjani hapo

KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>

No comments: