Social Icons

Saturday, 22 October 2011

Waziri wa Elimu na mafunzo Amali Zanzibar Azungumzia Mikopo Ya Wanafunzi Wa Elimu Ya Juu

Waziri wa Elimu na mafunzo Amali Bw Ramadhan Abdallah Shaaban akitoa ufafanuzi mbele ya waandishi wa habari juu ya masuala ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya Juu.Mkutano huu ulifanyika katika jengo la Wizara ya Elimu Mazizini.
Picha na Hamad Hija-MAELEZONo comments: