tag:blogger.com,1999:blog-5782623489496692040.post4027745940539053987..comments2018-05-29T07:44:40.578+03:00Comments on Matukio na Wanavyuo: WANACHUO wa Chuo kikuu cha St.Joseph Songea Wagomaā€¸Matukio na Wanavyuohttp://www.blogger.com/profile/00738421745164139045noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-5782623489496692040.post-37407815171007673352014-01-25T19:30:01.548+03:002014-01-25T19:30:01.548+03:00Wanyanyasaji wahindi.Wanyanyasaji wahindi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5782623489496692040.post-4496425715911950992014-01-25T19:28:23.248+03:002014-01-25T19:28:23.248+03:00Sio siri wahindi wanyanyasaji sana wanatuona watan...Sio siri wahindi wanyanyasaji sana wanatuona watanzania kama watumwa. Si songea tu kuna matatizo hata campus ya dar es salam matatizo kibao wamefunga vyoo eti maj hamna ukitaka kujisaidia mpaka uende mbali kupata huduma ya choo. Pia wanatabia ya kupiga wanafunzi. Eti unakuta umekosea kuandika jins alivyoelekeza anakupiga makofi na kutishia I will kill u. Cjui wakoje tunaomba serikali itusaidie wanafunzi. Ukichelewa kuingia darasan akakutangulia huruhusiwi kuingia darasan hadi amalize kipindi. Maan ya chuo ninini? Wanatuendesha kama watoto wa primary. Tunajuta kujiunga na st joseph.Anonymousnoreply@blogger.com