Social Icons

Saturday 16 May 2015

HOT NEWS TUKIO KATIKA PICHA: ALIYE KUWA MWANAFUNZI WA UDOM AKAMATWA KWA WIZI WA ZAIDI YA LAPTOP 40 PAMOJA NA SIMU ZAIDI YA 80 ALIZO IBA CHUONI HAPO

Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote. 

Kamanda wa Polisi Dodoma DAVID MISIME - SACP akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya  kuwakamata wezi watatu kutokana na wizi waliokuwa wakiendelea kuufanya mkoani Dodoma.
Baadhi ya laptop zilizoibiwa kwenye sehemu mbalimbali mkoani Dodoma zikioneshwa kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) mara baada ya kukamatwa wezi hao.

No comments: