Social Icons

Monday 24 November 2014

Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

 Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Mhe. Angellah Kairuki (kushoto) akiwahutubia wahitimu wakati wa Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere siku ya tarehe 22 Novemba, 2014 jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Shadrak Mwakalila.
 
Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Shadrak Mwakalila.akiwahutubia wahitimu wakati wa Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere siku ya tarehe 22 Novemba, 2014 jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wahitimu wa ngazi mbalimbali wakifuatlia hotuba toka kwa mgeni rasmi Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Mhe. Angellah Kairuki wakati wa Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere siku ya tarehe 22 Novemba, 2014 jijini Dar es Salaam.PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA, MAELEZO-DSM).

Kwa wanavyuo wote watanzania popote Duniani Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. Tumieni mtandao huu ni wenu nyote.

No comments: