Social Icons

Tuesday 1 May 2012

KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU AZINDUA UZINDUZI WA UJENZI WA UKUMBI WA MIHADHARA CHUO KIKUU CHA KILIMO CHA SOKOINE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Hamis Dihenga, ( kati kati) akikata utepe kabla ya kwenda kuweka jiwe za msingi ya ujenzi wa ukumbi wa mihadhara (awamu ya pili) wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo ( SUA) na ( kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania , Rosemary Lulabuka na ( kushoto) ni Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu SUA, Profesa Gerald Monella, hafla hiyo fupi ilifanyika Aprili 30, mwaka huu Chuoni hapo Mjini Morogoro.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Hamis Dihenga, ( kati kati) akibadirishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania ( TEA) , Rosemary Lulabuka ( kushoto) pamoja na Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo ( SUA), Profesa Gerald Monela ( kulia) mara baada kuweka jiwe za msingi la ujenzi wa ukumbi wa mihadhara (awamu ya pili) SUA, Aprili 30, mwaka huu Chuoni hapo mjini Morogoro.
Picha na Issa Michuzi blog

No comments: