Social Icons

Tuesday 20 September 2011

Umoja wa wanavyuo Tanzania sasa unawaletea kitu mpya kabisa machoni mwenu .. Sasa tunawaletea Universities Connect


Basi Baada ya kuwa na Mtandao wetu mzuri kabisa wa kupeana habari na matukio mbali mbali sasa tumeona tutazame mbele zaidi ambapo tunawaletea kwenu mtandao maalum kabisa maalum kama Social network ambayo itaenda waunganisha wote kwa ukaribu kabisa ikishirikiana na hii ya Matukio na wanavyuo kujiunga ni rahisi sana.. ukijiunga mpe taarifa na mwenzako. Karibuni


KUJIUNGA BOFYA HAPA CHINI

No comments: